SEHEMU YA 4
“Joru vipi una kichaa wewe?” wakamuuliza, lakini Joru aliendelea kushangilia
na kupiga mbinja, hii haikuwa tabia ya Joru hata kidogo. Lakini siku hiyo
alikuwa kama mtu aliyewehuka akili.
“Sikilizeni, Rais Nyerere anaongea,” akawaweke kale karedio katikati yao.
“….nia ya kumpiga tunayo, uwezo wa kumpiga tunao, nguvu za kumpiga tunazo…” maneno hayo wenzake hawakuyaelewa ila Joru alielewa kwa sababu alikuwa akisikiliza mara kwa m,ara redio, akawaeleza wenzake.
“Rais Nyerere anaenda kumpiga Idd Amin,” aliwaambia na wote wakaungana katika furaha yake. Wakiwa katikati ya furaha yao, mara wakavamiwa na kundi la watu, wakakamatwa na kufungwa kamba wakapelekwa kituo cha polisi. Joru alikuwa akilia njia nzima kwa kitendo hicho mpaka alipofikishwa polisi, pale alimkuta Yule mtoto wa kiarabu akiwa na baba yake, Joru alitokwa na macho kukutana na mtoto.
“Huyu ndiye aliyeninyang’anya maandazi yangu,” Yule motto wa Kiaarabu alizungumza huku machozi yakimtoka. Joru alimkazia macho ya hasira. Wale polisi wakamwambia Joru lazima apate adhabu kwa lile alilolifanya. Joru akagoma, akakataa katakata kwamba yeye hakumnyang’anya maandazi. Lakini mabishano kati ya watoto hawa yalikuwa makali mpaka mmoja wa polisi alipoingilia kati. Joru akachapwa viboko nane na wale askari na wenzake wakachapwa viboko vine vine kila mmoja kisha wakaambiwa wasionekane kabisa mtaani.
Tangu hapo Joru akaona maisha hayo si mazuri maana siku nyingine anaweza hata kuuawa. Mchana wa siku iliyofuata, mji ulikuwa na hekaheka sana, kila kona kulikuwa na askari na wanajeshi, ndegevita nazo zilikuwa zikipita huku na kule na kufanya kelele zisizo na mwisho. Joru aliutazama mji wa Bukoba na kuona haumfai hivyo aliamua kutafuta mahali pengine ambapo angeweza kuendesha maisha yake. Jioni ya siku hiyo hakuwaaga wenzake, wote walijua tu kuwa amekwenda kutafuta chochoite kama kawaida lakini sivyo, mguu na njia, malazi yakawa porini.
Baada ya kupata vibarua hapa na pale akapata nauli kidogo akapanda basi na kushukia Bihalamuro, huko hakuwa na mtu anayemjua, kama kawaida yake alijikuta mitaani tu akizurula hapa na pale na kuangalia hiki na kile, siku ya kwanza ilimuishia katika mgahawa fualani ambapo kwa kuwa hakuwa na chochote aliomba mmiliki wa mgahawa huo ampe japo kazi ya kusafisha vyombo ili apate kula, ikawa hivyo. Siku zikaenda na miaka ikapita, Joru akaanza kuwa kijana mkubwa, kifua kilianza kutanuka, sauti ikawa nzito ya kutosha, Joru alibalehe na kuwa rijali, hakuona tena umaana wa kufanya kazi ya ile ya kuosha mabakuli kila siku, maana tangu alipoianza mpaka siku hiyo ilikuwa ni tabu tu, pa kulala ilikuwa tabu, aliwekewa kilago katika banda la kuku hivyo yeye na kuku waliishi pamoja.
Hali ya utulivu ilirudi nchini ijapokuwa kiuchumi maisha yalikuwa magumu sana, Joru alikaa mpaka miezi mine hajalipwa chochote kila akimwambia tajiri wake alicojibiwa hakikumridhisha. Majibu mabovu ya dharau yalikuwa ndiyo apewayo kila uchwao. ‘Nitamvumilia mpaka lini?’ alijiuliza mara nyingi, pale anapomuona akiwanunulia watoto wake vitu mbalimbali vingine ikiwa ni vya kuchezea tu wakati yeye hana chochote hana hata hela ya kununua dawa ya mswaki. Joru aliwakwa na hasira, akaamua kumfanyizia bosi huyo kitu ambacho hatokisahau maishani mwake.
Siku moja ilikuwa jioni ya jumamosi, Joru alijifanya anaumwa sana, Yule bosi wake hakumjali sanasana alimpangia kazi nyingi za kufanya siku yote. Ilipotimu mida ya saa kumi jioni yeye na watoto wake wakatoka lakini walimuacha binti mkubwa wa yapata miaka 20 hivi ili aangalie kinachoendelea katika mgahawa huo. Joru alianza kulaghai binti huyu kwa neno hili na lile, ijapokuwa binti Yule alikuwa hataki kusikioliza maneno matamu ya mapenzi aliyokuwa akiambiwa na Joru, kijana huyo hakukata tama, kila alipomkuta kasimama alimshika maziwa, mara kumtomasa kiunoni ilimradi tu amuamshe nyege lakini Yule binti alikuwa akikasirika sana hata wakati Fulani alimpiga Joru kwa chupa ya chai. Joru alitafakari sana, ijapokuwa pamoja na umri wake huo yeye kama kijana hakuwahi kufanya mapenzi na mwanamke ila katika mazunguzmo yao ya vijiweni alipata raha ya tendo hilo kihisia zaidi.
Akaachana na msichana huyo na kwenda zake bandani anakolala, alikusanya kila kilicho chake na kutia katika kijibegi chake cha mgongoni alichojinunulia siku za karibuni, ‘Sasa naondoa nyodo za huyu binti na hilo litakuwa pigo kwa baba yake, mi ndio Joru motto wa kikopo, motto asiye na wazazi, baba yake Jua mama yake mwezi kaka na dada zake nyota, maadu zake Mvua na jua,’ alijisemea huku akijipigapiga kifuani.
Jioni hiyo kabla bosi wake hajarudi, akiwa bado yupo yeye na binti huyo Kokusima, Joru alijibanza katika mlango wa banda alilokuwa akilala, akimwangalia binti huyo akienda kuoga, Joru aliifurahia bahati hiyo kwa kuwa binti huyo alivaa kanga ya Mombasa kwa mtindo wa lubega na nyingine akajifunga kiunoni, alipoingia tu Joru alimpa kama sekunde 25 nhivi akijua tayari kwa kuda huo atakuwa kabaki kama alivyozaliwa, akanyata taratibu kwa mwendo wa kinyonga mpaka pale mlango wa bafuni, mlango wa bati ulioshikizwa kwa kamba tu kwa upande wa ndani. Joru kwa mara ya kwanza aliliona umbo la mwanamke asiye na nguo, kwa kuchungulia katika pachipachi za mlango ule, mara akaona damu inachemka, moyo unamuenda mbio, akasukuma mlango na kuingia baada ya ile kamba kukatika kisha akaurudishia.
“Jamani nani huyo?” Kokusima aliuliza huku sabuni ikiwa imemtapakaa mwilini hakuweza kufumbua macho.
“Utamjua baadae,” Joru akajibu.
“Ha! Joru, yaani unanifuata bafu…” kabla haja maliza, Joru akamkamata na kumbana mdomo asitoa sauti, kisha kukuru kakara zikaanza, kutokana na nguvu za Joru alifanikiwa kumdhibiti Koku, kofi moja kali, Koku akawa mpole.
“Ukipiga kelele nakumaliza,” Joru alimuonesha kisu ambacho Koku alikiona kwa tabu sana kutokana na sabuni iliyokuwa ikimuwasha machoni, Joru akaanza shughuli yake mara baada ya kuitoa dhana yake iliyosimama vyema, japokuwa Koku alileta upinzani wa kimyakimya lakini nay eye hakuwahi kujaribu mchezo huo, hivyo mambo yakaenda japo kwa shida, huku Koku akilia, Joru hakujari yeye aliendelea na shughuli yake mpaka alipoona inatosha, akamuwacha Koku bafuni akiwa anajililia yeye akatoka na kubeba kibegi chake na kuondoka zake, akapita kwenye mgahawa, akakuta wafanyakazi wakiendelea na kazi zao, akapita kaunta kwa sababu walikuwa wakimjua hawakuwa na shida naye, Joru akavuta droo na kubeba mauzo yote kisha akaondoka zake. Mlangoni alikutana na bosi wake akirudi na familia wakirudi. Ilikuwa kama saa mbili usiku hivi wakasalimiana kama kawaida, Joru akaficha kibegi chake, ile gari ya bosi wake ilipoingia tu katika uwanja wa ile nyumba, Joru akapotelea mitaani, moyoni mwake roho yake kwatu, pesa kapata na binti wa bosi kamnanihii.
“Mama Koku, huyo si Koku anayelia, hebu nenda kamwangalie,” akamwagiza mkewe akamwangalie binti yao kule bafuni. Lo, mama alimkuta bintiye akiwa chini sakafuni, hana nguo, mwili bado umejaa povu la sabuni, kilio kinatawala, hapa na pale palikuwa na damu zilizochanganyika na damu.
“Nini mwanangu?” mama akauliza.
“Joru, Joru kanibaka!” alijibu Koku. Mama Koku akatoka na kumpa taarifa mumewe, hasira ikawaka, ‘Namuua Joru,’ alijiwazia, akaingia ndani akachukua kisu chake kikubwa na kupotelea mtaani kumsaka Joru, aliposhindwa, akaripoti polisi, polisi wakaingia kumsaka Joru kila kona, Joru hakuonekana, kila walipouliza, vijiweni kote Joru hakuonekana.
Ilikuwa ni fadhaha kwa familia, aibu kwa Koku, Mama wa Koku alibaki hana la kusema, alikwenda bandani alikokuwa akilala Joru na kukuta kijikaratasi juu ya godoro, akakiokota. Ilikuwa ni ngumu kusoma maandishi hayo yaliyoandikwa kwa mwandiko mbaya kama kapita bata, na hii ilichangia kwa Joru kuwa na kisomo cha madarasa matatu tu.
“…Nimefanya kazi sana, hamtaki kunilipa mshahara, nilichokifanya ndicho shukrani na malipo yangu, asanteni kwa kila kitu. Mimi ni mtoto wa mtaa, na mtaa utaendelea kunilea mpaka siku utakaponichoka wenyewe…”
Baada ya kusoma kijikaratasi kile Mama Koku akaangusha chozi, akalia sana lakini hana la kufanya. Alimpenda sana Joru lakini hakuamini alichokifanya na hakuamini alichofanyiwa. Baada ya Joru kukosekana kila mahali, hasira za mzee huyo zilipungua ijapokua alihapa kuwa popote atakapokutana naye lazima amtoe uhai kijana huyo asiye na faida.
Siku moja akiwa katika malalo yake huko porini alijikuta akiota ndoto mbaya sana, watu wakimchoma moto na kumpiga kwa magongo na mawe, alishtuka kutoka usingizini na kudondoka kutoka katika lile tawi mpaka chini, akaumia kiuno, Joru akawa hawezi kutembea isipokuwa ni kutambaa tu, hakuwa na ujanja, alijikaza na kutambaa kwa mwendo wa kitambo mpaka barabarani, hapo alipata msaada wa kijana mmoja ambaye alimfikisha katika hospitali ya jeshi la wananchi, pale akapata matibabu na kupumzishwa kwa wiki kadhaa.
“…Joseph mwanangu…. Najua unateseka sana, lakini maisha unayoyaishi hayakustahili, achana na tabia za uhuni, rudi uwe Joseph yuleyule niliyemuacha, roho ya Rutashobya haitakuacha mpaka utimize lile inalotaka,…”
Sauti hiyo ya mama yake ilimjia katika mawazo kama radi kali, Joru alianza kutetemeka kwa hofu, akiwa pale kitandani, akazama katika wimbi la mawazo, akamkumbuka mama yake na baba yake, akayakumbuka mateso makali waliyoyapata mpaka kifo chao, akakumbuka kauli ya baba yake ya mwisho ambayo haikuisha iliyomwambia ‘nyuma ya choo’, Joru akajiuliza mara kadhaa, nyuma ya choo, hakujua baba yake alitaka kumwambia nini, akatulia na kuruhusu machozi yamtiririke. Mara pembeni yake akasimama daktari mwanamke, aliyevalia kijeshi na juu yake alikuwa na koti jeupe, Joru akamtazama kwa kumhusudu mwanadada huyu aliyependeza katika nguo zake hizo.
“Samahani daktari,” Joru aliuliomba. Yule daktari mwanadada akageuka na kumtazama Joru kwa jicho kali, kisha akavuta hatua kumfuata pale alipolala.
“Naomba kukuuliza, hivi Idd Amin alishakamatwa?” Joru aliuliza. Swali hilo kwa askari huyu lilikuwa swali la kipumbavu sana, akacheka kwa dharau.
“Hakukamatwa, alitoroka,” Yule daktari akajibu huku akiondoka. Joru alikaza macho kumwangalia daktari Yule mpaka alipopotelea katika vyumba vingine vya wodi hiyo. Joru akakumbwa na usingizi na kulala fofofo, ndoto nyingi nzuri na mbaya zilimjia kichwani mwake, aliweweseka sana, “Nitalipa kisasi, baba usihofu nitalipa kisasi,” alikuwa akisema kwa sauti ya chini ambayo ilisikiwa na mtu aliye jirani yake tu. Joru alihisi anaguswa na kutikiswa mguu wake kuwa aamke, akapambana na hali hiyo mpaka mwisho akaamka na kufumbua macho yake. Pembeni yake alisimama mwanaume mmoja, si kijana sana wala si mzee sana, walitazamana macho.
“Nimekusikia ulipokuwa ukujitambulisha kwa daktari mara ile ya kwanza,” Yule mwanaume alimsemesha Joru, akakohoa kidogo akavuta kiti na kuketi karibu na kitanda alicholala Joru, akaendelea kumtazama kijana huyo, “Joseph Rutashobya, nimekuwa nikilisikia jina hili kwa muda mrefu sana, mpaka nikawa na hamu ya kukuona,” akaendelea kusema.
“Wewe ni nani?” Joru aliuliza.
“Usiogope, kwanza kwa nini umemuuliza daktari kama Idd Amin amekamatwa?” akamuuliza.
“Nimeuliza kwa sababu nataka kujua,” Joru akajibu.
“Ina maana wewe hujui lolote juu ya Idd Amin?” Yule mtu akmuuliza tena.
“Aaah! Ndio sijui lolote, mi naishi nje ya ulimwengu, siwezi kujua ya ulimwengu, nilitoka zamani sana,” Joru alijibu. Maneno haya yalimuweka Yule mtu njia panda, hakuelewa Joru alikuwa akimaanisha nini kwa kauli yake hiyo, akabaki akimtazama tu.
“Mbona unaniangalia?” Joru alimuuliza Yule mwanaume.
“Nakushangaa kwa kile unachoniambia, unaishi wapi?” Yule mwanaume alimwuliza tena.
“Sijui nikujibu nini, ninapoonekana ndipo ninapoishi, linaponikuta giza ndipo ninapolala,” akajibu Joru.
“Ok, nimekuelewa, nitahitaji tuonane mara ukitoka hospitali,” Yule mwanaume akamwambia. Joru alimtazama kwa kitambo, hakummaliza yule mtu, kisha akafungua kinywa chake na kumuuliza.
“Nitakupataje, nikuulizie wapi na kwa jina gani?”
“Captain Shibagenda, ukitoka tu hapa ulizia hata hapo getini watakuleta kwangu,” Yule mwanaume akajibu na kuondoka kutoka nje ya wodi ile.
“Captain Shibagenda,” Joru alijisemea kwa sauti ya chini na kuvuta shuka kujifunika gubigubi.
Joseph Rutashobya, aliendelea kulala palepale, ilikuwa wiki kadhaa zimepita tangu afike katika hospitali ile ya jeshi. Bila kutegemea jioni ya siku hiyo aliruhusiwa kutoka hospitali. Joru alitoka katika jengo la wodi ile na polepole alikuwa akivuta hatua ndogondogo kuelekea getini mwa kambi hiyo, alifikiria kumuulizia Yule mtu lakini moyo wake ulisita, akaamua kutoka na kuondoka. Joru alikuwa hajui hata ni wapi akielekea, akafuata njia iliyokuwa ikielekea madukani.
“Joseph!” mara alisikia sauti ya kike ikiita. Joru akasimama kwa mshtuko na kugeuka, ilikuwa ni giza kidogo hakuweza kumuona vyema Yule anayemwita, alipomsogelea akamfahamu, dakatari wa kike aliyekuwa akimtibia pale hospitali,
“Unaenda wapi?” akamuuliza.
“Nimeruhusiwa, naenda kulala,” akajibu Joru, huku akimtazama daktari Yule.
“Unaenda kulala wapi? Mbona mi nimeambiwa kuwa wewe umeokotwa tu barabarani? Joru hebu nambie ukweli,” Yule dada akamwambia Joru. Joru akainama chini kwa aibu kidogo, kisha akamtazama mwanadada Yule ambaye ukimtazama huwezi kufikiri kama ni ‘binti jeshi’. Joru akashikwa mkono, akashtuka na kumtazama Yule daktari, “Twende ukale, kisha nitakuruhusu uende kutafuta pa kulala.”
Joru akaongozana na yule dada ‘binti jeshi’ wakarudi tena jeshini katika kota za wafanyakazi. Joru aliona watoto wengi waliokuwa wakicheza michezo mbalimbali kwa furaha sana huku mama na baba zao wakiwa vibarazani wameketi wakibadilishana mawazo. Hali hiyo ilimhzunisha sana Joru alikumbuka miaka kadhaa nyuma kijijini kwao, alimkumbuka Kemilembe wake kwa mara yakwanza, lakini mpaka muda huo hakujua binti huyo yuko wapi, sanasana alijua atakua amekufa kama walivyokufa wengine, Joru aliamini kuwa ni yeye tu aliyepona kutoka katika kijiji kile.
Mwenyeji wa Joru aliandaa chakula na kuweka mezani, akamkaribisha Joru nao wote pamoja wakaanza kula huku mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea.
“Hebu nambie Joru, kwa nini siku ile uliniuliza juu ya Idd Amin? Kiukweli mtu huyo hakukamatwa na wala hajafa, alitoroka baada ya majeshi ya Tanzania kufika kabisa jirani na pale alipo,” alimwambia kwa kifupi.
“Na Mali ya Mungu, alikufa au amekamatwa?” Joru akamuuliza tena swali geni kabisa. Yule daktari akanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa, akamtazama Joru usoni.
“We unamjua Mali ya Mungu?” akamwuliza Joru.
“Ndiyo namjua sana, sana tu, na kama yuko hai nina shida naye,” Joru alimwambia Yule dada.
“Yupo, katika vita ile hakufa, lakini sijui sasa atakua wapi, we umemjuaje na una shida gani naye?” Joru alipokea swali linguine.
“Kiukweli, siwezi kukwambia ni nina shida naye gani, lakini siwezi kumpata, basi,” Joru akajibu na kuinua kikombe chake cha chai, akapiga funda kadhaa kwa mtindo wa mruzi.
“Ulale hapa Joru,” Yule dada alimuomba Joru alale pale.
“Hapa, kwangu si mahali salama, sijazoea kuishi na binadamu,” Joru akajibu. Baada ya muda mfupi Joru aliandaliwa maji ya kuoga katika bafu la nje na kutakiwa kwenda kuoga. Joru akashukuru akanyanyuka na kuonesha chumba atakachotumia kulala, akakitazama na kwenda zake bafuni kuoga.
Joru, kutokana na aina ya maisha aliyokuiwa anaishi hakuona usalama wowote wa kuishi na watu kama hawa, baadae aligundua kuwa unaweza kuwa ni mtego ili akamatwe na wabaya wake, hakuwa tayari, aliliacha taulo juu katika msumari na yeye kupotelea nje akimuacha Yule dada bintijeshi akimsubiri, Joru alitoka nje ya kambi ya jeshi na kupotelea anakokujua yeye.
ITAENDELEA
“Sikilizeni, Rais Nyerere anaongea,” akawaweke kale karedio katikati yao.
“….nia ya kumpiga tunayo, uwezo wa kumpiga tunao, nguvu za kumpiga tunazo…” maneno hayo wenzake hawakuyaelewa ila Joru alielewa kwa sababu alikuwa akisikiliza mara kwa m,ara redio, akawaeleza wenzake.
“Rais Nyerere anaenda kumpiga Idd Amin,” aliwaambia na wote wakaungana katika furaha yake. Wakiwa katikati ya furaha yao, mara wakavamiwa na kundi la watu, wakakamatwa na kufungwa kamba wakapelekwa kituo cha polisi. Joru alikuwa akilia njia nzima kwa kitendo hicho mpaka alipofikishwa polisi, pale alimkuta Yule mtoto wa kiarabu akiwa na baba yake, Joru alitokwa na macho kukutana na mtoto.
“Huyu ndiye aliyeninyang’anya maandazi yangu,” Yule motto wa Kiaarabu alizungumza huku machozi yakimtoka. Joru alimkazia macho ya hasira. Wale polisi wakamwambia Joru lazima apate adhabu kwa lile alilolifanya. Joru akagoma, akakataa katakata kwamba yeye hakumnyang’anya maandazi. Lakini mabishano kati ya watoto hawa yalikuwa makali mpaka mmoja wa polisi alipoingilia kati. Joru akachapwa viboko nane na wale askari na wenzake wakachapwa viboko vine vine kila mmoja kisha wakaambiwa wasionekane kabisa mtaani.
Tangu hapo Joru akaona maisha hayo si mazuri maana siku nyingine anaweza hata kuuawa. Mchana wa siku iliyofuata, mji ulikuwa na hekaheka sana, kila kona kulikuwa na askari na wanajeshi, ndegevita nazo zilikuwa zikipita huku na kule na kufanya kelele zisizo na mwisho. Joru aliutazama mji wa Bukoba na kuona haumfai hivyo aliamua kutafuta mahali pengine ambapo angeweza kuendesha maisha yake. Jioni ya siku hiyo hakuwaaga wenzake, wote walijua tu kuwa amekwenda kutafuta chochoite kama kawaida lakini sivyo, mguu na njia, malazi yakawa porini.
Baada ya kupata vibarua hapa na pale akapata nauli kidogo akapanda basi na kushukia Bihalamuro, huko hakuwa na mtu anayemjua, kama kawaida yake alijikuta mitaani tu akizurula hapa na pale na kuangalia hiki na kile, siku ya kwanza ilimuishia katika mgahawa fualani ambapo kwa kuwa hakuwa na chochote aliomba mmiliki wa mgahawa huo ampe japo kazi ya kusafisha vyombo ili apate kula, ikawa hivyo. Siku zikaenda na miaka ikapita, Joru akaanza kuwa kijana mkubwa, kifua kilianza kutanuka, sauti ikawa nzito ya kutosha, Joru alibalehe na kuwa rijali, hakuona tena umaana wa kufanya kazi ya ile ya kuosha mabakuli kila siku, maana tangu alipoianza mpaka siku hiyo ilikuwa ni tabu tu, pa kulala ilikuwa tabu, aliwekewa kilago katika banda la kuku hivyo yeye na kuku waliishi pamoja.
Hali ya utulivu ilirudi nchini ijapokuwa kiuchumi maisha yalikuwa magumu sana, Joru alikaa mpaka miezi mine hajalipwa chochote kila akimwambia tajiri wake alicojibiwa hakikumridhisha. Majibu mabovu ya dharau yalikuwa ndiyo apewayo kila uchwao. ‘Nitamvumilia mpaka lini?’ alijiuliza mara nyingi, pale anapomuona akiwanunulia watoto wake vitu mbalimbali vingine ikiwa ni vya kuchezea tu wakati yeye hana chochote hana hata hela ya kununua dawa ya mswaki. Joru aliwakwa na hasira, akaamua kumfanyizia bosi huyo kitu ambacho hatokisahau maishani mwake.
Siku moja ilikuwa jioni ya jumamosi, Joru alijifanya anaumwa sana, Yule bosi wake hakumjali sanasana alimpangia kazi nyingi za kufanya siku yote. Ilipotimu mida ya saa kumi jioni yeye na watoto wake wakatoka lakini walimuacha binti mkubwa wa yapata miaka 20 hivi ili aangalie kinachoendelea katika mgahawa huo. Joru alianza kulaghai binti huyu kwa neno hili na lile, ijapokuwa binti Yule alikuwa hataki kusikioliza maneno matamu ya mapenzi aliyokuwa akiambiwa na Joru, kijana huyo hakukata tama, kila alipomkuta kasimama alimshika maziwa, mara kumtomasa kiunoni ilimradi tu amuamshe nyege lakini Yule binti alikuwa akikasirika sana hata wakati Fulani alimpiga Joru kwa chupa ya chai. Joru alitafakari sana, ijapokuwa pamoja na umri wake huo yeye kama kijana hakuwahi kufanya mapenzi na mwanamke ila katika mazunguzmo yao ya vijiweni alipata raha ya tendo hilo kihisia zaidi.
Akaachana na msichana huyo na kwenda zake bandani anakolala, alikusanya kila kilicho chake na kutia katika kijibegi chake cha mgongoni alichojinunulia siku za karibuni, ‘Sasa naondoa nyodo za huyu binti na hilo litakuwa pigo kwa baba yake, mi ndio Joru motto wa kikopo, motto asiye na wazazi, baba yake Jua mama yake mwezi kaka na dada zake nyota, maadu zake Mvua na jua,’ alijisemea huku akijipigapiga kifuani.
Jioni hiyo kabla bosi wake hajarudi, akiwa bado yupo yeye na binti huyo Kokusima, Joru alijibanza katika mlango wa banda alilokuwa akilala, akimwangalia binti huyo akienda kuoga, Joru aliifurahia bahati hiyo kwa kuwa binti huyo alivaa kanga ya Mombasa kwa mtindo wa lubega na nyingine akajifunga kiunoni, alipoingia tu Joru alimpa kama sekunde 25 nhivi akijua tayari kwa kuda huo atakuwa kabaki kama alivyozaliwa, akanyata taratibu kwa mwendo wa kinyonga mpaka pale mlango wa bafuni, mlango wa bati ulioshikizwa kwa kamba tu kwa upande wa ndani. Joru kwa mara ya kwanza aliliona umbo la mwanamke asiye na nguo, kwa kuchungulia katika pachipachi za mlango ule, mara akaona damu inachemka, moyo unamuenda mbio, akasukuma mlango na kuingia baada ya ile kamba kukatika kisha akaurudishia.
“Jamani nani huyo?” Kokusima aliuliza huku sabuni ikiwa imemtapakaa mwilini hakuweza kufumbua macho.
“Utamjua baadae,” Joru akajibu.
“Ha! Joru, yaani unanifuata bafu…” kabla haja maliza, Joru akamkamata na kumbana mdomo asitoa sauti, kisha kukuru kakara zikaanza, kutokana na nguvu za Joru alifanikiwa kumdhibiti Koku, kofi moja kali, Koku akawa mpole.
“Ukipiga kelele nakumaliza,” Joru alimuonesha kisu ambacho Koku alikiona kwa tabu sana kutokana na sabuni iliyokuwa ikimuwasha machoni, Joru akaanza shughuli yake mara baada ya kuitoa dhana yake iliyosimama vyema, japokuwa Koku alileta upinzani wa kimyakimya lakini nay eye hakuwahi kujaribu mchezo huo, hivyo mambo yakaenda japo kwa shida, huku Koku akilia, Joru hakujari yeye aliendelea na shughuli yake mpaka alipoona inatosha, akamuwacha Koku bafuni akiwa anajililia yeye akatoka na kubeba kibegi chake na kuondoka zake, akapita kwenye mgahawa, akakuta wafanyakazi wakiendelea na kazi zao, akapita kaunta kwa sababu walikuwa wakimjua hawakuwa na shida naye, Joru akavuta droo na kubeba mauzo yote kisha akaondoka zake. Mlangoni alikutana na bosi wake akirudi na familia wakirudi. Ilikuwa kama saa mbili usiku hivi wakasalimiana kama kawaida, Joru akaficha kibegi chake, ile gari ya bosi wake ilipoingia tu katika uwanja wa ile nyumba, Joru akapotelea mitaani, moyoni mwake roho yake kwatu, pesa kapata na binti wa bosi kamnanihii.
§§§§§
Baba wa Koku alikaribishwa na kilio cha binti yake, alichokisikia kutoka
bafuni.“Mama Koku, huyo si Koku anayelia, hebu nenda kamwangalie,” akamwagiza mkewe akamwangalie binti yao kule bafuni. Lo, mama alimkuta bintiye akiwa chini sakafuni, hana nguo, mwili bado umejaa povu la sabuni, kilio kinatawala, hapa na pale palikuwa na damu zilizochanganyika na damu.
“Nini mwanangu?” mama akauliza.
“Joru, Joru kanibaka!” alijibu Koku. Mama Koku akatoka na kumpa taarifa mumewe, hasira ikawaka, ‘Namuua Joru,’ alijiwazia, akaingia ndani akachukua kisu chake kikubwa na kupotelea mtaani kumsaka Joru, aliposhindwa, akaripoti polisi, polisi wakaingia kumsaka Joru kila kona, Joru hakuonekana, kila walipouliza, vijiweni kote Joru hakuonekana.
Ilikuwa ni fadhaha kwa familia, aibu kwa Koku, Mama wa Koku alibaki hana la kusema, alikwenda bandani alikokuwa akilala Joru na kukuta kijikaratasi juu ya godoro, akakiokota. Ilikuwa ni ngumu kusoma maandishi hayo yaliyoandikwa kwa mwandiko mbaya kama kapita bata, na hii ilichangia kwa Joru kuwa na kisomo cha madarasa matatu tu.
“…Nimefanya kazi sana, hamtaki kunilipa mshahara, nilichokifanya ndicho shukrani na malipo yangu, asanteni kwa kila kitu. Mimi ni mtoto wa mtaa, na mtaa utaendelea kunilea mpaka siku utakaponichoka wenyewe…”
Baada ya kusoma kijikaratasi kile Mama Koku akaangusha chozi, akalia sana lakini hana la kufanya. Alimpenda sana Joru lakini hakuamini alichokifanya na hakuamini alichofanyiwa. Baada ya Joru kukosekana kila mahali, hasira za mzee huyo zilipungua ijapokua alihapa kuwa popote atakapokutana naye lazima amtoe uhai kijana huyo asiye na faida.
§§§§§
Joru pamoja na upole wake, sasa aliingia katika magenge ya kihuni, wavuta
bangi na wacheza kamali katika viunga vya mji mdogo wa Biharamulo, kwa kuwa
alihofia siku yoyote kukamatwa na polisi, Joru alikuwa kila usiku akilala
porini, akikwea juu ya mti na kujipumzisha, hayo ndiyo yalikuwa maisha ya Joru.Siku moja akiwa katika malalo yake huko porini alijikuta akiota ndoto mbaya sana, watu wakimchoma moto na kumpiga kwa magongo na mawe, alishtuka kutoka usingizini na kudondoka kutoka katika lile tawi mpaka chini, akaumia kiuno, Joru akawa hawezi kutembea isipokuwa ni kutambaa tu, hakuwa na ujanja, alijikaza na kutambaa kwa mwendo wa kitambo mpaka barabarani, hapo alipata msaada wa kijana mmoja ambaye alimfikisha katika hospitali ya jeshi la wananchi, pale akapata matibabu na kupumzishwa kwa wiki kadhaa.
“…Joseph mwanangu…. Najua unateseka sana, lakini maisha unayoyaishi hayakustahili, achana na tabia za uhuni, rudi uwe Joseph yuleyule niliyemuacha, roho ya Rutashobya haitakuacha mpaka utimize lile inalotaka,…”
Sauti hiyo ya mama yake ilimjia katika mawazo kama radi kali, Joru alianza kutetemeka kwa hofu, akiwa pale kitandani, akazama katika wimbi la mawazo, akamkumbuka mama yake na baba yake, akayakumbuka mateso makali waliyoyapata mpaka kifo chao, akakumbuka kauli ya baba yake ya mwisho ambayo haikuisha iliyomwambia ‘nyuma ya choo’, Joru akajiuliza mara kadhaa, nyuma ya choo, hakujua baba yake alitaka kumwambia nini, akatulia na kuruhusu machozi yamtiririke. Mara pembeni yake akasimama daktari mwanamke, aliyevalia kijeshi na juu yake alikuwa na koti jeupe, Joru akamtazama kwa kumhusudu mwanadada huyu aliyependeza katika nguo zake hizo.
“Samahani daktari,” Joru aliuliomba. Yule daktari mwanadada akageuka na kumtazama Joru kwa jicho kali, kisha akavuta hatua kumfuata pale alipolala.
“Naomba kukuuliza, hivi Idd Amin alishakamatwa?” Joru aliuliza. Swali hilo kwa askari huyu lilikuwa swali la kipumbavu sana, akacheka kwa dharau.
“Hakukamatwa, alitoroka,” Yule daktari akajibu huku akiondoka. Joru alikaza macho kumwangalia daktari Yule mpaka alipopotelea katika vyumba vingine vya wodi hiyo. Joru akakumbwa na usingizi na kulala fofofo, ndoto nyingi nzuri na mbaya zilimjia kichwani mwake, aliweweseka sana, “Nitalipa kisasi, baba usihofu nitalipa kisasi,” alikuwa akisema kwa sauti ya chini ambayo ilisikiwa na mtu aliye jirani yake tu. Joru alihisi anaguswa na kutikiswa mguu wake kuwa aamke, akapambana na hali hiyo mpaka mwisho akaamka na kufumbua macho yake. Pembeni yake alisimama mwanaume mmoja, si kijana sana wala si mzee sana, walitazamana macho.
“Nimekusikia ulipokuwa ukujitambulisha kwa daktari mara ile ya kwanza,” Yule mwanaume alimsemesha Joru, akakohoa kidogo akavuta kiti na kuketi karibu na kitanda alicholala Joru, akaendelea kumtazama kijana huyo, “Joseph Rutashobya, nimekuwa nikilisikia jina hili kwa muda mrefu sana, mpaka nikawa na hamu ya kukuona,” akaendelea kusema.
“Wewe ni nani?” Joru aliuliza.
“Usiogope, kwanza kwa nini umemuuliza daktari kama Idd Amin amekamatwa?” akamuuliza.
“Nimeuliza kwa sababu nataka kujua,” Joru akajibu.
“Ina maana wewe hujui lolote juu ya Idd Amin?” Yule mtu akmuuliza tena.
“Aaah! Ndio sijui lolote, mi naishi nje ya ulimwengu, siwezi kujua ya ulimwengu, nilitoka zamani sana,” Joru alijibu. Maneno haya yalimuweka Yule mtu njia panda, hakuelewa Joru alikuwa akimaanisha nini kwa kauli yake hiyo, akabaki akimtazama tu.
“Mbona unaniangalia?” Joru alimuuliza Yule mwanaume.
“Nakushangaa kwa kile unachoniambia, unaishi wapi?” Yule mwanaume alimwuliza tena.
“Sijui nikujibu nini, ninapoonekana ndipo ninapoishi, linaponikuta giza ndipo ninapolala,” akajibu Joru.
“Ok, nimekuelewa, nitahitaji tuonane mara ukitoka hospitali,” Yule mwanaume akamwambia. Joru alimtazama kwa kitambo, hakummaliza yule mtu, kisha akafungua kinywa chake na kumuuliza.
“Nitakupataje, nikuulizie wapi na kwa jina gani?”
“Captain Shibagenda, ukitoka tu hapa ulizia hata hapo getini watakuleta kwangu,” Yule mwanaume akajibu na kuondoka kutoka nje ya wodi ile.
“Captain Shibagenda,” Joru alijisemea kwa sauti ya chini na kuvuta shuka kujifunika gubigubi.
Joseph Rutashobya, aliendelea kulala palepale, ilikuwa wiki kadhaa zimepita tangu afike katika hospitali ile ya jeshi. Bila kutegemea jioni ya siku hiyo aliruhusiwa kutoka hospitali. Joru alitoka katika jengo la wodi ile na polepole alikuwa akivuta hatua ndogondogo kuelekea getini mwa kambi hiyo, alifikiria kumuulizia Yule mtu lakini moyo wake ulisita, akaamua kutoka na kuondoka. Joru alikuwa hajui hata ni wapi akielekea, akafuata njia iliyokuwa ikielekea madukani.
“Joseph!” mara alisikia sauti ya kike ikiita. Joru akasimama kwa mshtuko na kugeuka, ilikuwa ni giza kidogo hakuweza kumuona vyema Yule anayemwita, alipomsogelea akamfahamu, dakatari wa kike aliyekuwa akimtibia pale hospitali,
“Unaenda wapi?” akamuuliza.
“Nimeruhusiwa, naenda kulala,” akajibu Joru, huku akimtazama daktari Yule.
“Unaenda kulala wapi? Mbona mi nimeambiwa kuwa wewe umeokotwa tu barabarani? Joru hebu nambie ukweli,” Yule dada akamwambia Joru. Joru akainama chini kwa aibu kidogo, kisha akamtazama mwanadada Yule ambaye ukimtazama huwezi kufikiri kama ni ‘binti jeshi’. Joru akashikwa mkono, akashtuka na kumtazama Yule daktari, “Twende ukale, kisha nitakuruhusu uende kutafuta pa kulala.”
Joru akaongozana na yule dada ‘binti jeshi’ wakarudi tena jeshini katika kota za wafanyakazi. Joru aliona watoto wengi waliokuwa wakicheza michezo mbalimbali kwa furaha sana huku mama na baba zao wakiwa vibarazani wameketi wakibadilishana mawazo. Hali hiyo ilimhzunisha sana Joru alikumbuka miaka kadhaa nyuma kijijini kwao, alimkumbuka Kemilembe wake kwa mara yakwanza, lakini mpaka muda huo hakujua binti huyo yuko wapi, sanasana alijua atakua amekufa kama walivyokufa wengine, Joru aliamini kuwa ni yeye tu aliyepona kutoka katika kijiji kile.
Mwenyeji wa Joru aliandaa chakula na kuweka mezani, akamkaribisha Joru nao wote pamoja wakaanza kula huku mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea.
“Hebu nambie Joru, kwa nini siku ile uliniuliza juu ya Idd Amin? Kiukweli mtu huyo hakukamatwa na wala hajafa, alitoroka baada ya majeshi ya Tanzania kufika kabisa jirani na pale alipo,” alimwambia kwa kifupi.
“Na Mali ya Mungu, alikufa au amekamatwa?” Joru akamuuliza tena swali geni kabisa. Yule daktari akanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa, akamtazama Joru usoni.
“We unamjua Mali ya Mungu?” akamwuliza Joru.
“Ndiyo namjua sana, sana tu, na kama yuko hai nina shida naye,” Joru alimwambia Yule dada.
“Yupo, katika vita ile hakufa, lakini sijui sasa atakua wapi, we umemjuaje na una shida gani naye?” Joru alipokea swali linguine.
“Kiukweli, siwezi kukwambia ni nina shida naye gani, lakini siwezi kumpata, basi,” Joru akajibu na kuinua kikombe chake cha chai, akapiga funda kadhaa kwa mtindo wa mruzi.
“Ulale hapa Joru,” Yule dada alimuomba Joru alale pale.
“Hapa, kwangu si mahali salama, sijazoea kuishi na binadamu,” Joru akajibu. Baada ya muda mfupi Joru aliandaliwa maji ya kuoga katika bafu la nje na kutakiwa kwenda kuoga. Joru akashukuru akanyanyuka na kuonesha chumba atakachotumia kulala, akakitazama na kwenda zake bafuni kuoga.
Joru, kutokana na aina ya maisha aliyokuiwa anaishi hakuona usalama wowote wa kuishi na watu kama hawa, baadae aligundua kuwa unaweza kuwa ni mtego ili akamatwe na wabaya wake, hakuwa tayari, aliliacha taulo juu katika msumari na yeye kupotelea nje akimuacha Yule dada bintijeshi akimsubiri, Joru alitoka nje ya kambi ya jeshi na kupotelea anakokujua yeye.
ITAENDELEA

Comments
Post a Comment